Madam rita paulsen biography for kids
Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo. Yasini Ngitu December 23, - pm Less than a minute. Yasini Ngitu Mwandishi.
Madam rita paulsen biography for kids
Join our mailing list to get the latest news! Just better. Tanzanian television personality born Rita Paulsen. Retrieved This page was last edited on 11 Januaryat Basis of this page is in Wikipedia. Ndoto zake zilikuwa awe mwanasheria ila mambo hayakuenda vizuri baada ya kupata ujauzito akiwa na umri wa miaka 14 [ 8 ]. Jamii yake haikumpokea vizuri.
Hilo halikumfanya akate tamaa, hivyo alijitahidi kujikomboa katika maisha yake. Baadaye akaja kuwa mashuhuri na kutumia maisha yake ya nyuma kama kielelezo cha kuwafariji na kuwatia moyo mabinti wanaokumbana na matatizo ya mimba za utotoni [ 10 ]. Paulsen ni mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya utayarishaji wa vipindi vya televisheni, Benchmark Productions.
Kampuni hiyo inazalisha kipindi cha televisheni cha Bongo Star Searchambacho Paulsen ni jaji mkuu. Alianzisha kipindi hicho, Paulsen alihamasishwa na kipindi cha Kimarekani kilichojulikana kama American Idol. Pia ni mtangazaji wa kipindi cha televisheni cha dakika 45 kinachoitwa, Rita Paulsen Show. Yaliyomo hamishia kwenye mwambaa upande ficha.
Wikidata item. Tanzanian television personality born This article has multiple issues. Please help improve it or discuss these issues on the talk page. Learn how and when to remove these messages. This article contains promotional content. Please help improve it by removing promotional language and inappropriate external linksand by adding encyclopedic text written from a neutral point of view.
May Learn how and when to remove this message. This article contains wording that promotes the subject in a subjective manner without imparting real information.